Songombingo ya uke wa fisi

Ndio kusema ni shemales.
 
Picha ingependeza
 
pia umesahau kuwa fisi ana mguu mmoja wa nyuma ambao haujikunji huwa kama anauburuta hivi
 
Fisi ni mnyama wa ajabu sana anaweza kimbizwa vibaya sana na mtoto wa miaka 6-7 lakini anamla mbwa! Ambaye ni hatari kuliko mtoto au mtu mzima.
Is this true?[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Basi litakua limetimia lile neno la MUNGU, kwamba tutavitawala viumbe vyote juu ya ardhi [emoji137][emoji137]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…