bongo-live
JF-Expert Member
- Jul 3, 2013
- 1,735
- 2,305
Mkuu Jina kwa heshima ya majina !!Kuna nchi mji mkuu wake unaitwa Darusalam
silaha zinatoka wapi?ukipata jibu rudia usemi wakoAl shabaab watailipua hiyo.......
I dont see anything amazing hapo... Just some poor renderings, majengo hayo mbona ya kawaida sana, mega city ipi hiyo?
Labda wangesema wanajenga mtaa wa darusalasm wangeeleweka
I dont see anything amazing hapo... Just some poor renderings, majengo hayo mbona ya kawaida sana, mega city ipi hiyo?
Labda wangesema wanajenga mtaa wa darusalasm wangeeleweka
Siku moja nilikuwa nasubiri kuunganisha flight dohar,nimeegesha Mara wakataja abiria wa kwenda daru salaam nikakurupuka usingizini kukuta waasia/waarabu tu nikastuka kumbe ni kwenda BAHRAIN!
Kuna nchi mji mkuu wake unaitwa Darusalam