engmtolera
JF-Expert Member
- Oct 21, 2010
- 5,149
- 1,441
Kinachowaumiza watanzania ni kupenda vitu vya bei ya chini,kwa upande wetu ni kwamba system na vifaa vyetu vya solar bei yake inaendana na ubora,ukitaka bei ya chini ndio unaumizwaSiku izi nimekuwa muga kununua vifaa vya kielectronic kwa kuhofia feki items
I always go for a Brand that I ONCE used maana kama 30% ya bidhaa sokoni ni feki akili kumkichwa
If you go for the Brand suala la kununua vitu vya bei rahisi halipo Mfano Vifaa vya umeme I always go for Tronic,fridge westpoint,Radio Kenwood,TV Sumsung na vyote ivyo huwa nadeal na authorised dealers kama wapo.Nilikuwa nataka kukufafanulia maana ya neno Brand lilivyotumika na implcation zake.Kinachowaumiza watanzania ni kupenda vitu vya bei ya chini,kwa upande wetu ni kwamba system na vifaa vyetu vya solar bei yake inaendana na ubora,ukitaka bei ya chini ndio unaumizwa
nakupa mfano mmoja
watanzania wengi majumbani mwao wanatumia battery za gari kuhifadhi charge kwanini wanafanya hivyo eti ni beo rahisi,lakini ukimuuzia Lead acid gery battery ambayo ndio suitable kwa kuhifadhi umeme anaogopa bei,mwisho wake ni kila miezi 6 anabadilisha battery,wakati angenunua lead acid battery angekaa nayo kwa miaka kadhaa na bado anapewa warranty ya mwaka mzima.
Tuache kununua vitu vya bei rahisi.
Then watu wanalalamika,huku wakidhamini kununua vitu ama bidhaa za bei ya chini.If you go for the Brand suala la kununua vitu vya bei rahisi halipo Mfano Vifaa vya umeme I always go for Tronic,fridge westpoint,Radio Kenwood,TV Sumsung na vyote ivyo huwa nadeal na authorised dealers kama wapo.Nilikuwa nataka kukufafanulia maana ya neno Brand lilivyotumika na implcation zake.
Ni kweli ni tabia ya watanzania wengi kununua vitu cheap ambavyo huja wacost mbaya zaidi vingi feki huwa najiuliza why should there be fake stuff in the market kwa 30% wahusika wanafanya nini?
If you go for the Brand suala la kununua vitu vya bei rahisi halipo Mfano Vifaa vya umeme I always go for Tronic,fridge westpoint,Radio Kenwood,TV Sumsung na vyote ivyo huwa nadeal na authorised dealers kama wapo.Nilikuwa nataka kukufafanulia maana ya neno Brand lilivyotumika na implcation zake.
Ni kweli ni tabia ya watanzania wengi kununua vitu cheap ambavyo huja wacost mbaya zaidi vingi feki huwa najiuliza why should there be fake stuff in the market kwa 30% wahusika wanafanya nini?
Kweli inabore. hiyo Ni fallacy of generalisation. Tuwe makini na namna tunavyofanya conclusion yaan mmoja akikosea basis inakuwa wote.Ina boa sana kwa mtu kutoa kauli za jumla jumla eti " WATANZANIA KINACHOWAUMIZA" it is unfair, unjustifiable, nonsensical and unethical mtu moja kati ya mamilioni ya Wabongo ametoa wazo lake kwenye JF halafu anajitokeza mtu mmoja kusema kwa ujumla "WATANZANIA". Hii si dalili ya weledi katika uandishi au namna ya kufikiri. Katika mazingira ya yoyote yale iwe ya kibiashara au kisiasa fikra za mtu huwa ni personal na siyo collective kama anavyotaka kutuambia jamaa hapo juu" eti kinachotuponza wa Tanzania ni kutaka vitu vya bei rahisi" Naomba mdau afute kauli yake mbovu!!
Mkuu "sumsung" ndio nini??