nyakatende nyumbani
Member
- Dec 9, 2014
- 65
- 15
zote mbili jumla yake ni 165,000?NINAZO MBILI KILA MOJA INA 50W, KWA HIYO ZOTE MBILI NI 100W bei 165,000/= nililetewa toka UK unaweza weka chini maana zina stand yake au juu ya bati achana na panel za kichina njoo uchukue hizi, sababu ya kuuza nmepata nyingine kubwa ya 300W. zote bado mpya. serious buyer anicheki 0624078252 au 0764726071 nipo DAR ES SALAAM. naomba mwenye kuhitaji atumie namba hzo kuwasiliana nami au kupata maelezo maana stakuwa online.
nenda kaulze 100W ni shs ngapi hiyohiyo ya german wakikwambia chini ya 180000 njoo nkupe bure.50w sundar from German dukan 75