Habari za humu wadau?.., ninakusanya ukwaju usiopungua tani moja na nusu, kwa aliye tayari kununua anaweza kunifuata inbox kwa maongezi zaidi. Karibuni!
Nimefikiria kufanya hilo msimu ujao ndugu yangu.., kwa sasa sijajipanga kisawa sawa! Inaonekana unaifaham vizuri value chain ya ukwaju, tujuzane mkuu!!