Alex Hamadi Hamis Member Joined Apr 18, 2017 Posts 86 Reaction score 57 Jan 24, 2021 #1 Sofa set ya kukaa watu saba 3:2:1:1 unapata na mito yake yote. 450,000/= tu (Dar es Salaam). Call/WhatsApp: 0676095799 Your browser is not able to display this video.
Sofa set ya kukaa watu saba 3:2:1:1 unapata na mito yake yote. 450,000/= tu (Dar es Salaam). Call/WhatsApp: 0676095799 Your browser is not able to display this video.
Bwii89 JF-Expert Member Joined Apr 5, 2015 Posts 1,001 Reaction score 1,025 Jan 24, 2021 #2 Pamoja na usafiri? Vp kuhusu risiti ya TrA? Alex Hamadi Hamis said: Sofa set ya kukaa watu saba 3:2:1:1 unapata na mito yake yote. 450,000/= tu (Dar es Salaam) Call/WhatsApp: 0676095799 Click to expand...
Pamoja na usafiri? Vp kuhusu risiti ya TrA? Alex Hamadi Hamis said: Sofa set ya kukaa watu saba 3:2:1:1 unapata na mito yake yote. 450,000/= tu (Dar es Salaam) Call/WhatsApp: 0676095799 Click to expand...
Alex Hamadi Hamis Member Joined Apr 18, 2017 Posts 86 Reaction score 57 Jan 25, 2021 Thread starter #3 Spark said: Pamoja na usafiri? Vp kuhusu risiti ya TrA? Click to expand... Unataka kusafiri kuelekea wapi boss?
Spark said: Pamoja na usafiri? Vp kuhusu risiti ya TrA? Click to expand... Unataka kusafiri kuelekea wapi boss?
Bwii89 JF-Expert Member Joined Apr 5, 2015 Posts 1,001 Reaction score 1,025 Jan 25, 2021 #4 Alex Hamadi Hamis said: Unataka kusafiri kuelekea wapi boss? Click to expand... Kwa mtogore!
Pain killer JF-Expert Member Joined Aug 15, 2017 Posts 14,360 Reaction score 21,713 Jan 25, 2021 #5 Pair moja ya watu wawil shi ngapi
Alex Hamadi Hamis Member Joined Apr 18, 2017 Posts 86 Reaction score 57 Jan 25, 2021 Thread starter #6 Hapana, haijumuishi usafiri wala hizo receipt! Ni masofa tu kama ilivyojieleza Spark said: Kwa mtogore! Click to expand...
Hapana, haijumuishi usafiri wala hizo receipt! Ni masofa tu kama ilivyojieleza Spark said: Kwa mtogore! Click to expand...
Alex Hamadi Hamis Member Joined Apr 18, 2017 Posts 86 Reaction score 57 Jan 25, 2021 Thread starter #7 Pain killer said: Pair moja ya watu wawil shi ngapi Click to expand... Zinauzwa zote kama zilivyo boss
Pain killer said: Pair moja ya watu wawil shi ngapi Click to expand... Zinauzwa zote kama zilivyo boss
Don Moen JF-Expert Member Joined Nov 12, 2020 Posts 1,719 Reaction score 3,284 Jan 25, 2021 #8 Spark said: Kwa mtogore! Click to expand... Barabara ipo kufika home kwako au njia ya miguu?
Ncha Kali JF-Expert Member Joined Sep 19, 2019 Posts 15,400 Reaction score 29,344 Jan 25, 2021 #9 Mito peke yake bei gani?
sawima JF-Expert Member Joined Jul 9, 2019 Posts 5,646 Reaction score 8,736 Jan 25, 2021 #10 Ncha Kali said: Mito peke yake bei gani? Click to expand... Wee nae bhana sasa mito pekee unapeleka wapi
Ncha Kali said: Mito peke yake bei gani? Click to expand... Wee nae bhana sasa mito pekee unapeleka wapi
Ncha Kali JF-Expert Member Joined Sep 19, 2019 Posts 15,400 Reaction score 29,344 Jan 25, 2021 #11 sawima said: Wee nae bhana sasa mito pekee unapeleka wapi Click to expand... Si mlisema mnapenda pillow talks nyie! nataka za kuchezea kwenye naniliu.
sawima said: Wee nae bhana sasa mito pekee unapeleka wapi Click to expand... Si mlisema mnapenda pillow talks nyie! nataka za kuchezea kwenye naniliu.
sawima JF-Expert Member Joined Jul 9, 2019 Posts 5,646 Reaction score 8,736 Jan 25, 2021 #12 Ncha Kali said: Si mlisema mnapenda pillow talks nyie! nataka za kuchezea kwenye naniliu. Click to expand... Haya endelea kubagaini na mleta mada utauziwa.
Ncha Kali said: Si mlisema mnapenda pillow talks nyie! nataka za kuchezea kwenye naniliu. Click to expand... Haya endelea kubagaini na mleta mada utauziwa.
Analyse JF-Expert Member Joined Jan 19, 2014 Posts 17,641 Reaction score 47,667 Jan 25, 2021 #13 Ncha Kali said: Mito peke yake bei gani? Click to expand...