young super
JF-Expert Member
- Jan 21, 2013
- 257
- 315
Ngoja waamke mkuu
hahah haah sawa ntawapostia asubuhNgoja waamke mkuu
sijui kwakweliAiseee
hahah haah sawa ntawapostia asubuh
KWELI MKUUUUtandawazi ulipoingia duniani, na mawasiliano yakachukua nafasi yake tulifurahi sana. Lakini kilichopo nyuma ya pazia la utandawazi kwa maadili yetu si kitu chema kabisa.
Ukishindwa kujisimamia mwenyewe usitarajie kusimamiwa kikamilifu. Zaidi ya hapo utahalibikiwa zaidi.
Smartphone zimeleta madhara sana katika mapenzi na maadili katika jamii
Basi hizi smartphone zimesaidia maana tendo la ndoa ni kwa ajili ya Wana ndoa tu Na sio wengine.kuna kale kamfumo ka kutumia picha za uc** hii kwa kiasi kikubwa imepoteza thaman ya tendo la ndoa kwa vijana ambao hamjaoa/kuolewa,,,
sijawahi jua kametoka wapi afu haka kamchezo