Slaykids

haka katoto kangekua bongo ningeshtakiwa tu kwa kesi ya utekaji..maana nisingekua na namna..[emoji12]
 
haka katoto kangekua bongo ningeshtakiwa tu kwa kesi ya utekaji..maana nisingekua na namna..[emoji12]
Hahahahaaaa tafuta wa kwako maa

Mm kazi yangu kuomba watoto wa watu napiga nao misele jion nawarudisha
 
Hahahahaaaa tafuta wa kwako maa

Mm kazi yangu kuomba watoto wa watu napiga nao misele jion nawarudisha
Tatizo sio kutafuta..ukiachana na uto tumavazi walivyotupia..hyo wa kuchanganya nae damu anafanana na mrisho mpoto..mweh
 
Tatizo sio kutafuta..ukiachana na uto tumavazi walivyotupia..hyo wa kuchanganya nae damu anafanana na mrisho mpoto..mweh
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ikifika muda wa kuwa na mtoto Itabd umkimbie ukazae na mwarabu au mzungu

Ila jaribu nae tu Huez jua anaweza kufanana na Wewe kila kitu
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…