Slaykids

Wengi ndo tabia zao,nawengine ukivaa ata malapa ya mama zao wanalia hatari
Nlishavuliwa kanga ya shoga angu mimi sina hamu mtoto yule[emoji23][emoji23]mi nimeenda kwao mamake kanipa kanga tunapika jikoni,saa ngapi kasije kanalilia kanga ya mamake,et ya mamaaaa,lete ya mama,mamake anamkataza wapi,mpaka kamchapa mtoto hataki analia kwa uchungu,nikasema wataua mtt wa watu,kumpa tu kanga akanyamaza
 
Watoto wa hivi wazuri sana kama unadada wakazi anaetumia vitu vyako wakati haupo,
Atakavyolia hagusi ng'ooo
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…