Du hawa jamaa wangekuja na viti vyao, usikute washakalia pollonium!!! They have to be careful. Hata mikono wasishikane nao na wakiletewa document yoyote toka sehemu wasiyoijua wasiifunue wao wawape wasidizi wao na hata kusoma wawasomee wao watake note tu na kujibu.