englibertm
JF-Expert Member
- May 1, 2009
- 9,252
- 6,211
hupendi kuombwa jibu au?kunyimwa jibu?Tabia nlikua siipendi hii..
Nakumbuka tulipokuwa tukifanya mtihani upande mmoja wa daftari nausimamisha ili mwengine asipate kuchungulia!!
Haaaa eti mi nikisoma wao wanacheza rede na kombolela kisha niwaachie walo chabo naona uchunguuuu....Hhahaaaa ulikuwa mchoyo wa majibu wewe lol
Haaaa eti mi nikisoma wao wanacheza rede na kombolela kisha niwaachie walo chabo naona uchunguuuu....
Chuoni pia watu wanafanya hivo arent they too old for that lol...Hahaaaa umenichekesha nna rafiki yangu wakati nko Chuo nae alikuwa kama wewe
Chuoni pia watu wanafanya hivo arent they too old for that lol...
Both!!!Kufanyaje!!!Kuigilizia au kukataa kutoa majibu
Both!!!
Ok ninavyojua mimi mitihani ya chuoni unahitaji ujieleze zaidi kwa urefu sasa mtaigiliziana vipi?We wapo wengi hasa kuigilizia....Mie nimesoma UD yaani ilikuwa balaa.......
Ok ninavyojua mimi mitihani ya chuoni unahitaji ujieleze zaidi kwa urefu sasa mtaigiliziana vipi?
Chuoni pia watu wanafanya hivo arent they too old for that lol...