mjingamimi
JF-Expert Member
- Aug 3, 2015
- 45,751
- 55,789
Hahahhahaaaaaaa karibu vodacomkaribu HALOTEL mkuu
nawewe ubahiri umekuzizi50 tu unamind?Leo nimekwenda kitoa hela kwa wakala.kwenye simu kulikuwa na15,000.nikaangalia viwango vya kutoa fedha.nikitoa 13,500,watakata 1,250,cha ajabu nilipotoa tu hela wamekata 1,300,hapo nishaibiwa sh 50,wamebakiza Sh 200,kwenye account yangu ambayo hainunui hata salio.naamia air tel money.wezi wakubwa ninyi tigo.kwa heriniii
Halafu yule mchina anaesema "umebakiwa na muda wa maongezi chini ya dk 1"waninni kwetu??????.?????????
Anakula muda wetu ambao tumeshanunua anakata mazungumzo,hapo tiGo pia Munatuibiaaaaaaaaaaaa
Acheniiiiiiiiiiiiiii
Hiyo 50 wakiibiwa watu 20,000,000 ni shilingi ngapi hiyo!?nawewe ubahiri umekuzizi50 tu unamind?
Mkuu hapo ndipo napoichukia tigo.nimepoteza hela kimakosa lakini ukipiga simu unawekwa hewani zaidi ya dk 45.ni kama hawatutaki tuTigo customer care is soo poorly! Yaani ukitaka kuwachukia Tigo Pesa kosea kutuma au kutoa ukiwa safarini; pesa hairejeshwi hadi mwezi, hata kama umewapa fact zoote hawajali kabisa wanaishia kukujibu subiri baada ya Massa 24 lakini wap