eneo linauzwa likiwa na nyumba ya vumba vinne,liko ndani ya uzio na linatazamana na barabara kuu ya tabata kimanga.mbele kuna flemu za biashara nne. eneo limepimwa na lina hati. bei ni milioni 200 mazungumzo yapo #0714358610
Nakuaminia Dipub.
Kwa maeneo hayo ndio bei zake.
Kiwanja chake kinaonekana kikubwa sana cha nyumba hiyo.
Sasa ungeweka na ukubwa wa eneo la mzunguuko wa kiwanja ingekuwa nzuri zaidi kamanda.