Mkuu wa Jeshi la Polisi nchin (IGP) Simon Siro Amesema kuwa kamata kamata itaendelea na kwamba hufanya kwa watuhumiwa bila kuangalia jina la mtu. Kamanda Siro ameyasema hayo Leo wakat azungumva kwenye kipndi cha Dakika 45 kinachorushwa hewana kituo cha ITV huku akisisitiza kuwa mwanasiasa akionekana ahatarisha aman ni lazima akamatwe na kuhojiwa akibainika kuwa anahusika anapelewa mahakaman
*" tutamkamata tutamhoji akibainika kuwa anahusika tutampeleka mahakaman kama hahusiki bas tutamuachia" alisema.
Kuhusu usalama wa kibiti amesema kuwa hiv sasa hali no shwari lakin akawata wakaz wa maeneo hayo kuwahoji watu wanaokuja kununua maeneo ya kujenga .
Wakat huo huo Mkuu huyo Polisi amewaomba RAIA mwenye taarifu ya aliyekuwa Msaidz wa Freeman Mbowe Ben Saa Nane azipeleke polis ile waweze kufuatalia.
" Kama kuna mtu anataarifa kuhusu Bwana Mdogo Ben sasa nane aniletee Mimi au apeleke hata kwa mkuu wa mkoa (Paul Mkonda na taarifa yake itakuwa ya Siri.
Kweli Paul Makonda ana nguvu sana za kimaamuzi nchini Tanzania,hadi IGP anataka taarifa za "kupotezwa" kwa Ben Saanane zipelekwe kwa Makonda?"I wish I could be IGP"...