Sipendi Morning Glory

Huu ndio muda wa morning glory, usisubiri saa 12 , jribu utanishukuru.
 
Alfajiri Ndio MDA mzuri
 
Hata mimi siipendi huo muda huwa nawaza mipango yangu na kuongea na halmashauri yangu kichwanii
 
kile cha "utukufu wa asubuhi" ndyo breakfast, ni mila na desturi hiyo.
 
Hapana,mwisho wao umekaribiaa
..tangu enzi za Mrema, Mamvi n.k mmekuwa mkitabiri hivyo, chama kikuu cha upinzani CDM kipo busy na civil war, na hakitashiriki uchaguzi, kwa mechanism gani CCM itatolewa?
 
Cudding na morning glory ukipata hutakaa uskie ugomvi wowote wa ndoa, wowte ule, hii ni siri nakupa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…