marcoveratti
JF-Expert Member
- Sep 21, 2017
- 1,113
- 1,952
SIO OFFSIDE [emoji119]Kwa mujibu wa Kipyenga cha mwisho cha Mwamuzi Mstaafu, Osman Kazi, kinachoruka Azam Sports 2 kila Alhamis Saa 3:30 usiku..... goli la AmissTambwe dhidi ya Mtibwa Sugar, HAIKUWA Offside. Lilikuwa goli halali lililokataliwa na mwamuzi msaidizi namba moja (Line One).
.
.
Kwa namna picha hiyo ilivyochorwa mstari wa mwisho kuonesha Offside, unakubaliana na Osman Kazi au hapana?...Toa maoni yako.
#tpl
#chombokwahewa
View attachment 1075964Soka Football Central on Instagram: “SIO OFFSIDE 🙌Kwa mujibu wa Kipyenga cha mwisho cha Mwamuzi Mstaafu, Osman Kazi, kinachoruka Azam Sports 2 kila Alhamis Saa 3:30 usiku.....…”
0 Likes, 0 Comments - Soka Football Central (@soka_app) on Instagram: “SIO OFFSIDE 🙌Kwa mujibu wa Kipyenga cha mwisho cha Mwamuzi Mstaafu, Osman Kazi, kinachoruka Azam…”www.instagram.com
Kudhurumu yanga ni kama kula Mali ya yatima ndio kinacho umaIacheni tu Yanga ijifilie mbali kule.
Marefa waanza sasa kujitafakari kwann hata mmoja hajaitwa afconKwahiyo tufanyaje sasa?
Mechi ya Ajax na Juventus uliangalia?Marefa waanza sasa kujitafakari kwann hata mmoja hajaitwa afcon
Kudhurumu yanga ni kama kula Mali ya yatima ndio kinacho uma
MALIPO HAPAHAPA DUNIAN S MLIFURAHIA KKATALIWA KWA GOLI HILI LA AJIBU SIMBA VS YANGA [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]SIO OFFSIDE [emoji119]Kwa mujibu wa Kipyenga cha mwisho cha Mwamuzi Mstaafu, Osman Kazi, kinachoruka Azam Sports 2 kila Alhamis Saa 3:30 usiku..... goli la AmissTambwe dhidi ya Mtibwa Sugar, HAIKUWA Offside. Lilikuwa goli halali lililokataliwa na mwamuzi msaidizi namba moja (Line One).
.
.
Kwa namna picha hiyo ilivyochorwa mstari wa mwisho kuonesha Offside, unakubaliana na Osman Kazi au hapana?...Toa maoni yako.
#tpl
#chombokwahewa
View attachment 1075964Soka Football Central on Instagram: “SIO OFFSIDE 🙌Kwa mujibu wa Kipyenga cha mwisho cha Mwamuzi Mstaafu, Osman Kazi, kinachoruka Azam Sports 2 kila Alhamis Saa 3:30 usiku.....…”
0 Likes, 0 Comments - Soka Football Central (@soka_app) on Instagram: “SIO OFFSIDE 🙌Kwa mujibu wa Kipyenga cha mwisho cha Mwamuzi Mstaafu, Osman Kazi, kinachoruka Azam…”www.instagram.com
Mmmh..yule mviziaji hana lolote..Next time wakifanya hivi.. Mashabiki mnaingia uwanjani mnawachapa kama Mwasika. . Mechi kibao wanakataa mabao halali. . Makambo angeshafikisha magoli 20..