Sinior kibwengo unakubali kubwengwa?

Sifi Leo

Platinum Member
Joined
Mar 30, 2012
Posts
6,308
Reaction score
11,791
Siwezi KUKUITA kwa majina Yako hata kama publicity unajulikana Mimi NTAKUTIA kibwengo kwa lugha yetu pendwa ndani kikapu chetu tunachotumia nunulia nyanya.

Senior kibwengo mwambie mama Hali SI shwari nyanya magengeni zimearibika tusisubiri mbegu ziote magengeni maana ni kuchafu sana zitaota na sumu itamea

Senior kibwengo matumia jukwaa la Jamii Forums kuzungumza nawe maana Jana nilikuona pahala sikukusemesha nilikuwa na kiu ya kabia aina ya sere.

Suala la ulinzi na usalama wa taifa MLINZI wake ni Raia wote wewe upo sio kwamba u Bora kuliko Mimi sifi leo

Ninaswali nakuiliza senior kibwengo umekubali kubwengwa?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…