wa Dowans, epa, .........watakuja faster.
Ila bongo nafikiri kila mfanyakazi ni fisadi maana wengi mchoro mdogo ila anaishi maisha ambayo ni makubwa kuliko mshahara.
Mfagilizi atadokea sabuni, secretary kalamu na karatasi, mlinzi atakodisha hata bunduki, mara ten %, kwa wakubwa usiseme ni laana tupu,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,