kailakarama
Member
- Aug 30, 2014
- 73
- 30
ATTENTION!....
-----------------------
Kuna taarifa kwamba faili la kesi ya Zitto Kabwe kupibga kuvuliwa uanachana wa Chadema limeitwa kwa mmoja wa majaji wa Mahakama Kuu. Haijulikani kama jaji huyo ni John Utamwa au mwingine.
Utamwa ndiye aliyeweka zuio ambalo limenfanya Zitto awe mbunge hadi leo. Utamwa pia ndiye aliyeamua uamuzi wa kesi ya IPTL ambao serikali imeutumia kumlipa hela Seth Singh. Taarifa za Kimahakama zinadai kwamba hatua hii ya kuitisha inaweza kuwa mwanzo wa juhudi za kumvua Zitto ubunge ili asiongoze harakati za kamati yake kuhakikisha uchunguzi wa wizi wa fedha za Tegeta Escrow unakamilika. Hapo awali zilikuwepo taarifa za mwanasheria wa Zitto, Albert Msando, kutishiwa na mmoja wa maofisa usalama kwamba Zitto anatakiwa kuachana na suala la IPTL la sivyo atakumbana na matatizo.
Kama mtu kama Zitto au Msando ambao hawana uhusiano na serikali wanatishiwa namna hii, je hali ikoje kwa CAG? Tunaamini kwamba ripoti yake haitachakachuliwa kwa faida ya wachache?
Zitto amepewa kazi ya kuhujumu Escrow na si kupambana
Mtu halisi wa Kupambana na escrow ni kafulila
Hapo ndio umeongea nn!!??
Unamtenganishaje Zitto na Kafulila!!!???

..........nhoooooo!! safari hii mtakoma, lazima muikalieEboo ati nini?

Ni kweli! Nakumbuka Zitto alisema anayo majina ya watu walioficha pesa Uswis. Watanzania walimwamini sana. Lakini baada ya kupata mkwanja akabadilisha usemi kuwa hayo majina hana. Zitto ndumilakuwili kama siyo kinyonga!Ndugu mleta mada tambua kuwa Zitto hakuna suala lolote atakalolianzisha likawa na mwisho wenye mafanikio kwa anachokipigania zaidi uishia yeye kunufaika na hicho anachoonyesha kukipigania nikimaanisha kuwa huyu jamaa ni mpiga dili tu na hana uchungu wowote na rasilimali zetu, kama unapingana na mimi naomba uniwekee hapa tangu amekuwa mbunge na hoja zote alizozitoa na kujifanya kuzisimamia ni ipi iliyoisha kwa mwisho wenye mafanikio?
Ndugu mleta mada tambua kuwa Zitto hakuna suala lolote atakalolianzisha likawa na mwisho wenye mafanikio kwa anachokipigania zaidi uishia yeye kunufaika na hicho anachoonyesha kukipigania nikimaanisha kuwa huyu jamaa ni mpiga dili tu na hana uchungu wowote na rasilimali zetu, kama unapingana na mimi naomba uniwekee hapa tangu amekuwa mbunge na hoja zote alizozitoa na kujifanya kuzisimamia ni ipi iliyoisha kwa mwisho wenye mafanikio?
Unamatatizo ya Ubongo na unapaswa kuanza kula nanasi ili uwe na kumbukumbu sahihi.
Zitto ndiye mwasisi wa hoja ya Buzwagi,alikuwa akidai watanzania nao tushirikishwe ktk kuwekeza kwenye madini,Samwel Sitta akamfukiza Zitto Bungeni lkn baadae Zitto aliibuka mshindi baada ya Rais kulazimika kuunda kamati ya kupitia upya mikataba ya madini(Tume ya Jaji Bomani)
Kutokana na tume hii iliyoundwa tulipata sheria mpya ya madini mwaka 2010,hilo ni mja kati ya mengi yaliyofanikishwa na Kiongozi huyo shujaa.kama hujaelewa nitakuletea hapahapa mpaka uache mtima nyongo
Hapo ndio umeongea nn!!??
Unamtenganishaje Zitto na Kafulila!!!???
attention!....
-----------------------
kuna taarifa kwamba faili la kesi ya zitto kabwe kupibga kuvuliwa uanachana wa chadema limeitwa kwa mmoja wa majaji wa mahakama kuu. Haijulikani kama jaji huyo ni john utamwa au mwingine.
Utamwa ndiye aliyeweka zuio ambalo limenfanya zitto awe mbunge hadi leo. Utamwa pia ndiye aliyeamua uamuzi wa kesi ya iptl ambao serikali imeutumia kumlipa hela seth singh. Taarifa za kimahakama zinadai kwamba hatua hii ya kuitisha inaweza kuwa mwanzo wa juhudi za kumvua zitto ubunge ili asiongoze harakati za kamati yake kuhakikisha uchunguzi wa wizi wa fedha za tegeta escrow unakamilika. Hapo awali zilikuwepo taarifa za mwanasheria wa zitto, albert msando, kutishiwa na mmoja wa maofisa usalama kwamba zitto anatakiwa kuachana na suala la iptl la sivyo atakumbana na matatizo.
Kama mtu kama zitto au msando ambao hawana uhusiano na serikali wanatishiwa namna hii, je hali ikoje kwa cag? Tunaamini kwamba ripoti yake haitachakachuliwa kwa faida ya wachache?