Na wewe mchekee
Hali yako vp
Kuna demu nimependa sana na pia ni mrembo sana nilijarbu kumweleza buti yy anacheka tu na kuniulia nitaaminije ila anacheka tu
sasa yy akiniona tu niko na manzi anakuja kunimaindi sana anakua na wivu but nimtongoza atoi answ
tatizo liko wapi kama huna ushauri pita iv kejeri sitaki
Ndio dawa yake ....