Simu zinauzwa bei ya kutupa

ressyrutta

Member
Joined
Nov 6, 2017
Posts
22
Reaction score
11
Simu zinauzwa bei simple
 
Attachments

  • IMG-20180815-WA0028.jpg
    76.8 KB · Views: 48
  • IMG-20180815-WA0029.jpg
    95.6 KB · Views: 55
  • IMG-20180815-WA0025.jpg
    83.7 KB · Views: 54
  • IMG-20180815-WA0024.jpg
    51.3 KB · Views: 50
Kwann ccm? Storeg kuna 32gb +mpx 16 kuna 16gb +mpx 13
 
Zote ni bei moja ama vp nadhan ungeweka kila simu na bei yake
 
Mmhh mm sijui kijadili siasa wadau am xo xory am spesfied ni commercial issues
 
ngoja tupoke mishahara yetu kwanza kwa maana hali ilivo tata..................
 
Mmhh mm sijui kijadili siasa wadau am xo xory am spesfied ni commercial issues

Mkuu nakushauri uwe na tofauti kwenye lugha ya Biashara na ku Chat. Hiyo xo xory ..inapunguza kitu na mtu anaweza kukujudge kutokana na unavyo andika.
Hayo ni maoni
 
Mkuu nakushauri uwe na tofauti kwenye lugha ya Biashara na ku Chat. Hiyo xo xory ..inapunguza kitu na mtu anaweza kukujudge kutokana na unavyo andika.
Hayo ni maoni
Ok asante ntaiweka sawa ndugu
 
Kila nikiangalia inakuja picha ya ccm cjui kwa nini anyway mi sihitaji
 
Hizi simu mbona zimekaa kiwizi wizi..tusije tafutwa na polisi hapa town.
 
Hizi simu mbona zimekaa kiwizi wizi..tusije tafutwa na polisi hapa town.
Wabongo bhana ila ndivyo tulivyo kozi ukiambiwa kiatu Tsh 90000 ni bora unune kuliko kiwe Tsh 20000 upo tiari upoteze 50000 kwasababu hujui bei halis na haujui kwann kinauzwa Tsh20000 jamani kama unanua taratibu za manunuzi zinafahamika kama hunapesa unauchuna sio kutoa sifa mbaya kwa mtu mwizi "mwenyewe "
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…