Inatokea mara nyingi ninapotaka kupiga simu, kutuma msg au kufanya operation nyingine, nakwama na msg inayosomeka '500-internet error, inatokea. Naomba elimu namna ya kutatua tatizi hili

Mkuu funguka watu wakusaidie,
Ni sumsung aina gani tatizo limeanza lini labda,ushawahi kuipeleka kwa fundi,
Ni mpya ulinunua dukani au kwa washkaji na mwanzoni ilikuaje labda"