Wanabodi!
Kwa muda nafuatilia sana jinsi mchanganuo wa hizi simu za Tecno, ila inasemekana kama mtu ukiwa kwenye eneo ambalo tunatumia EDGE inasumbua sana. Je kwa simu nzuri ya Huawei ambayo inakubali kila network na inakuwa fasta ni Huawei ya aina gani inahusika.
Ahsante