simba songea
JF-Expert Member
- Feb 8, 2016
- 1,496
- 1,219
Hata mm nimeshangaa sana GB 34 kama 32.hapo sawaduh gb 34 itakuwwa imetengenezwa koromije BTW wanunuzi kaz kwenu
34 GB
Model No SM-N900
Android version 5.0
Ina Air gesture
Pia unapata na PEN yake
Bei 480,000/= Tu
KabisaHiyo bei ya NOTE 4 Mpya na kila kitu chake mkuu tena 30k inabaki