Simu mpya ya LG G3

Buhamila

Senior Member
Joined
Feb 5, 2012
Posts
160
Reaction score
82
Wadau nasikia imetoka toleo jipya la simu ya lg ambayo ni lg g3. Mwenye ufahamu zaidi na hii cm naomba anijuze name kwa hapa bongo(dar) inapatikana pande zip! Asanteni.
 
Wadau nasikia imetoka toleo jipya la simu ya lg ambayo ni lg g3. Mwenye ufahamu zaidi na hii cm naomba anijuze name kwa hapa bongo(dar) inapatikana pande zip! Asanteni.

LG products mpaka sasa to me i can say ndo best smart4ne out there, naziweka above samsung period. Stable system, UI inavutia kwel, powerful processors na fairly gud battery life. Shida moja tu nliyoipata when i was with my Optimus G (a release jus below G 2 i believe)! Ni pale ilipodondoka tena umbal wa kima cha goti. Screen ili crack halfway na below the crack ikawa haifany kaz. Solution hapo ni kutoa display nzima jamaa wamebind touch na screen such dat they're insepparable. Nmezunguka entire dar es salaam hakuna display za LG optimus G kuja juu!! Sehem moja tu maeneo ya posta a place called SAPNA kwa wahind ndo walisema hawana ila wanaweza iagiza ila cost ni 270k. Till nw ipo tu. Kufanya research nkagundua ni tatizo common. Yaan hiz ni gud phone ila ukiidondosha tu. Imeisha
 
Srry sijakujibu swali lako, ila thought i should share that.
 
Ni simu Bomba sana products za LG. Pia ikumbukwe LG G2 ilikuwa top best smartphones 2013/2014 hadi kufikia this April. Hivo basi ujio wa hii G3 itakuwa kali na Bomba zaidi.

Sema sasa kwa hapa Bongo hizi product za LG hazina Warrant, ikiharibika it's for ur own risk kuitengeneza.

Hata mimi nnaisubiria kwa sana hiyo G3. Ila zikifika tu, tujiandae kupigwa sio chini ya 1.4M kuipata. Kwa Sasa G2 zinapatikana kwa 800,000 town.
 
na vi Ipad/Tablet vya tecno vikoje? nimeulizia duka moja hapa njombe nkaambiwa laki 3,"pungufu unaongea" na ngoma hiyo kwe2 bush ni issue aisee,lkn nikiifumania breki ya kwanza ni pale dukani!
Nipeni basi ushauri wenu wenye uzoefu.
Ahsante!
 
Slow down bro. Ndio kwanza ineanza kuuzwa June 2014. Hafu sio worldwide, walianzia uwanja wa nyumbani Korea. Huko kwenye store zao wenzetu wananunua kwa approx. bei ya Felcon Tsh 1.65M. Ikija Tz nadhani shop itakua Tsh 1.8M hivi.
Ila ni tishio kwa flagships zote za mwaka huu mzee. Sio M8, S5, Phantomz Z wala nani. Ngoja tuone i6.
 
na vi Ipad/Tablet vya tecno vikoje? nimeulizia duka moja hapa njombe nkaambiwa laki 3,"pungufu unaongea" na ngoma hiyo kwe2 bush ni issue aisee,lkn nikiifumania breki ya kwanza ni pale dukani!
Nipeni basi ushauri wenu wenye uzoefu.
Ahsante!

Zinaitwa Tablet sio iPad kaka. Tecno wamezileta hizo Tab ziwe available kwa watu wa vipato vya chini. So kama unaona ina ulazimu kua nayo nunua tu. Ila bei zake ni Tsh 250K (Kama ni Tecno Tab N9). Specifications zake ni za kawaida so usitegemee makubwa sana zaidi ya iko kioo kikubwa tu cha inch 8 (8"), vingine kama simu tu.
 

Duuh hi kali.
 
Nawashukuru wote kwa michango yenu. Endeleeni kutupa elimu wakuu!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…