Genuine_phones
Member
- Oct 23, 2019
- 17
- 21
Sawa mkuu
Nauza I Phone 6 Plain 16 GB, mpya kwa laki 320,000 rangi ya Gold. Kila kitu anapata mpaka mfuko wa kubebea
Hapo ndipo yanapofanyika makosa ya kibiashara. Unaweka bei kubwa ambayo wengine wakiona wanakimbia na hawatofika dukani. Wekabei rafiki kulingana na uhalisia ulivyo.Boss zinapungua
Hapo ndipo yanapofanyika makosa ya kibiashara. Unaweka bei kubwa ambayo wengine wakiona wanakimbia na hawatofika dukani. Wekabei rafiki kulingana na uhalisia ulivyo.
Mkuu una iPhone 7 plus 126gb
Tutakuja kununua
boss samsung note 5 ipo?Karibu boss