Inawezekana, LAKINI ikiwa haitumiki!Mkuu 3750mAH battery haiwezi kukaa na chaji siku zote hizo hata kama uo ofline.Bora uwe mkweli.
Inayo finger print mkuuNi simu nzuri hila haina finger print!
Mkuu em ninongoneze ni ipi unapanga kuagiza!Simu ya Tecno siwez tumia hata kama nikipewa bure, Nina kimtambo hapa kanaitwa Xiaomi redmi, kapo simple af mwanga mtamu Sana, hii kampuni nimeielewa Sana, next month naagiza moja Kwa moja abroad simu nzuri Zaid ya hii kampuni daah
Mkuu sample hii nimeielewa mbaya,Mkuu em ninongoneze ni ipi unapanga kuagiza!
Good luck kwa hilo! Ukiwa vizur zaidi unabeba Pro kabsa!