Habari wanajamii.. Nimeletewa simu aina ya BlackBerry curve Ni mpyaa ipo ndani ya box. Simu Ina kila kitu ndani charger na earphones zake na USB cable. Aliekua interested ataniambia number Ni 0712220207. Prices ni laki moja.
Kila la kheri kumpata mteja. App developers wengi wameachana na BB platforms. Pia that phone can't be new coz waliacha kuzalisha zamani. Itakua refurbrished hiyo