unauliza bei wakati picha hujaiona? kwa taarifa yako hiyo picha ni ya kudownload mtandaoni aweke picha halisi na ogopa sana mtu anayetumia nafsi ya mtu mwingine kuwasilisha tangazo haswa la uuzaji ni dalili ya kwanza ya change la macho kwa sisi wenye kuona kwa jicho la tatu