N Nchoji Member Joined Jul 9, 2013 Posts 49 Reaction score 17 Dec 13, 2013 #1 Wanajamii nataka kununua simu aina ya htc One V Pk 76130 ni nzuri. Tena naomba nisaidieni nawezaje kuangalia RAM yake na Processor? Nipeni mbinu hiyo wanajamii.
Wanajamii nataka kununua simu aina ya htc One V Pk 76130 ni nzuri. Tena naomba nisaidieni nawezaje kuangalia RAM yake na Processor? Nipeni mbinu hiyo wanajamii.