Drone Camera JF-Expert Member Joined Jul 25, 2017 Posts 14,121 Reaction score 14,032 Dec 5, 2017 #21 Padima said: Kocha wa kilimanjaro start hajaona umihimu wa msuva kwenye kikoc chake au ana shida zake binafsi Click to expand... Hapana hawa international players ligi zao zinaendelea bado Ni wachezaji muhimu kwenye timu Timu zao haziwezi kuwaruhusu
Padima said: Kocha wa kilimanjaro start hajaona umihimu wa msuva kwenye kikoc chake au ana shida zake binafsi Click to expand... Hapana hawa international players ligi zao zinaendelea bado Ni wachezaji muhimu kwenye timu Timu zao haziwezi kuwaruhusu
Ulimakafu JF-Expert Member Joined Mar 18, 2011 Posts 31,701 Reaction score 13,671 Dec 5, 2017 #22 Pwa a said: Kocha wa kilimanjaro start hajaona umihimu wa msuva kwenye kikoc chake au ana shida zake binafsi Click to expand... Anapenda wa Mnyama.
Pwa a said: Kocha wa kilimanjaro start hajaona umihimu wa msuva kwenye kikoc chake au ana shida zake binafsi Click to expand... Anapenda wa Mnyama.
Drone Camera JF-Expert Member Joined Jul 25, 2017 Posts 14,121 Reaction score 14,032 Dec 5, 2017 #23 Ulimakafu said: Anapenda wa Mnyama. Click to expand... Toa ushabiki wa kimafia hapa Samagol umemuona
barafuyamoto JF-Expert Member Joined Jul 26, 2014 Posts 32,405 Reaction score 29,803 Dec 5, 2017 #24 Padima said: Kocha wa kilimanjaro start hajaona umihimu wa msuva kwenye kikoc chake au ana shida zake binafsi Click to expand... Kiwango chake sio cha ndondo sasa hivi.
Padima said: Kocha wa kilimanjaro start hajaona umihimu wa msuva kwenye kikoc chake au ana shida zake binafsi Click to expand... Kiwango chake sio cha ndondo sasa hivi.
barafuyamoto JF-Expert Member Joined Jul 26, 2014 Posts 32,405 Reaction score 29,803 Dec 5, 2017 #25 Prince Kunta said: Yanga ni noma sana Click to expand... Msuva alikuja yanga sababu ya dau la Manji, ila ni Simba ndani nje!!
Prince Kunta said: Yanga ni noma sana Click to expand... Msuva alikuja yanga sababu ya dau la Manji, ila ni Simba ndani nje!!
GUI1 JF-Expert Member Joined Oct 4, 2017 Posts 4,362 Reaction score 5,606 Dec 6, 2017 #26 Padima said: Kocha wa kilimanjaro start hajaona umihimu wa msuva kwenye kikoc chake au ana shida zake binafsi Click to expand... Haya mashindano yana husisha wachezaji wa ligi za ndani kama sija kosea
Padima said: Kocha wa kilimanjaro start hajaona umihimu wa msuva kwenye kikoc chake au ana shida zake binafsi Click to expand... Haya mashindano yana husisha wachezaji wa ligi za ndani kama sija kosea
Drone Camera JF-Expert Member Joined Jul 25, 2017 Posts 14,121 Reaction score 14,032 Dec 7, 2017 #27 GUI1 said: Haya mashindano yana husisha wachezaji wa ligi za ndani kama sija kosea Click to expand... Wowote wale
GUI1 said: Haya mashindano yana husisha wachezaji wa ligi za ndani kama sija kosea Click to expand... Wowote wale
Watu8 Platinum Member Joined Feb 19, 2010 Posts 76,352 Reaction score 108,470 Dec 7, 2017 #28 GUI1 said: Haya mashindano yana husisha wachezaji wa ligi za ndani kama sija kosea Click to expand... CECAFA sio CHAN... CHAN ndio mashindano ya wachezaji wa Taifa wachezao mpira wa ridhaa (ligi ya ndani)... CECAFA challenge cup ni mashindano ya timu za Taifa nchi wanachama wa CECAFA na nchi alikwa kadhaa...
GUI1 said: Haya mashindano yana husisha wachezaji wa ligi za ndani kama sija kosea Click to expand... CECAFA sio CHAN... CHAN ndio mashindano ya wachezaji wa Taifa wachezao mpira wa ridhaa (ligi ya ndani)... CECAFA challenge cup ni mashindano ya timu za Taifa nchi wanachama wa CECAFA na nchi alikwa kadhaa...