Chukua na hii hapa, tena bahati nzuri aliiweka Ali Kamwe, msemaji wa Yanga. Angalia item namba 8 :Hii ndio record iliyowekwa Jana na vijana wa mudi .....Baada ya mpira kuisha dk 90 bila hata Simba kupiga shoot lililo lenga lango ( on target)
Si umesema ni rekodi ya dunia? Kwani Tanzania haipo duniani? π€£ π€£ π€£ ππππAchana na ligi ....lete takimu za kimataifa
Pole ...Japo haibadilishi ....Simba kushindwa kupiga mpira golini ....dk 90 π
Makolo ni laana Kwa taifa
Acha kukimbiq kimbia.Achana na ligi ....lete takimu za kimataifa
Afya yako ya akili ina tatizo Mkuu π€£π€£π€£Japo haibadilishi ....Simba kushindwa kupiga mpira golini ....dk 90 π
Makolo ni laana Kwa taifa
Shoot on target ndiyo lugha ya Magoma?Simba sio timu ya kukosa shoot on target
ππππAfya yako ya akili ina tatizo Mkuu π€£π€£π€£