Wataacha kupanga matokeo kwa namna hii?
AiseeeeeSimba na Yanga zinaifaidisha TFF usitegemee hata siku moja hizi timu kushuka daraja hata mara moja hata kama timu iwe mbovu kiasi gani
Mkishaliwa ndio mnaanza kutafuta sababu. Yebo yebo ni mateja wa Mnyama siku zote hata kama Mnyama atachezesha wachezaji 5 kwa 11 wa Yebo Yebo.Wataacha kupanga matokeo kwa namna hii?
Hivi ni kwa nini Mnyama amepata mgao zaidi ya Yebo Yebo. Au ni kwa sababu kampiga kitu Yebo Yebo?