Sidhani kama wanazidi kumi ukiondoa wa litimu la CCM.Kikubwa ni kwamba ligi ya Tanzania imepeleka wachezaji zaidi ya kumi kwenye hyo michuano ukitoa wanaochezea timu yetu ya taifa.
1. Tafatha KotinhyoSidhani kama wanazidi kumi ukiondoa wa litimu la CCM.
(1) Emmanuel Okwi
(2) Thaban kamusoko
(3) Juuko murshid
(4) Wadada
(5) Jonathan nayimana
Nadhani ni hawa tu kama nina mapungufu unaweza kuwataja niliowasahau
Tafatha mbona sijamuona kwenye kikosi cha Zimbabwe au nimeona vibaya1. Tafatha Kotinhyo
2. Bigrimana Breizi
Mahrez yuko man cityView attachment 1143141
SIMBA YAINGIA KWENYE REKODI AFCON 2019 BAADA YA KUSHIKA NAFASI YA PILI KWA KUPELEKA WACHEZAJI WAKE 6 KTK TIMU ZA TAIFA ZINAZOSHIRIK MICHUANO YA AFCON NCHINI MISRI.
Simba imefanikiwa kuzipiki klabu kubwa kama vile ARSENAL iliyopeleka mchzaji mmoja Mohamed Elneny , Man U iliyopeleka mchezaji mmoja (Eric Bailly ) Crystal Palace iliyopeleka wachzaji wawili Wilfried Zaha na Bakary Sako iliyopeleka wawiliity Dieumerci Mbokani na Ahmed Elmohamady. Leicester City iliyopeleka wachzaji 3 Riyad Mahrez Islam Slimani na Daniel Amartey Liverpool Mohamed Salah na Mane
1º de Agosto 8
Rennes 7
Kaizer Chiefs 7
Simba FC 6
Mamelodi Sundowns 6
Zamalek 6
Reims 6
TP Mazembe 6
ES Tunis 6
Galatasaray 6
Al Ahly 5
Pyramids FC 5
Sofapaka 5
Bidvest Wits 5
Iwobi wa Nigeria anachezea wapi?View attachment 1143141

Robo stage....[emoji1241][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125].......long way...Ulivyotaja Leicester city imempeleka Riyad Mahrez nikazidi kuona huu uzi wa kimbumbumbu