Chukwu emeka JF-Expert Member Joined Jan 12, 2018 Posts 25,284 Reaction score 40,902 Jan 15, 2021 #41 Mtamba wa Panya said: Naona Recretivo do Libolo wako namba 71. Click to expand... Acha kuwa kumbusha watu machungu
Mtamba wa Panya said: Naona Recretivo do Libolo wako namba 71. Click to expand... Acha kuwa kumbusha watu machungu
SAGAI GALGANO JF-Expert Member Joined Nov 13, 2009 Posts 50,094 Reaction score 75,538 Jan 15, 2021 #42 Msafiri Kasian said: Nioichofurahia huu uzi hakuna wale wachafuzi wa hali ya hewa, pametuliaaaaa! Uto bhanaa, hapa wameshkwa pabaya Click to expand... Wapo mitaani wanabweka ovyo kama mbwa koko kushangilia lile birika la kuvutia shisha wanaloita kombe la Mapinduzi.
Msafiri Kasian said: Nioichofurahia huu uzi hakuna wale wachafuzi wa hali ya hewa, pametuliaaaaa! Uto bhanaa, hapa wameshkwa pabaya Click to expand... Wapo mitaani wanabweka ovyo kama mbwa koko kushangilia lile birika la kuvutia shisha wanaloita kombe la Mapinduzi.
Mtumpole JF-Expert Member Joined Aug 30, 2010 Posts 2,280 Reaction score 1,296 Jan 15, 2021 #43 Che mittoga said: Hapa wanapita kimya kimya. Click to expand... Juhudi binafsi za Mwamedi zimetufikisha kwenye hiyo nafasi! Sent from my HTC U12 life using JamiiForums mobile app
Che mittoga said: Hapa wanapita kimya kimya. Click to expand... Juhudi binafsi za Mwamedi zimetufikisha kwenye hiyo nafasi! Sent from my HTC U12 life using JamiiForums mobile app
NAMKONG'O JF-Expert Member Joined Mar 29, 2014 Posts 519 Reaction score 133 Jan 16, 2021 #44 Baada ya kuzimia mmepatia fahamu huku! YANGA HATA IWE DARAJA LA PILI CHA MSINGI iishikishe adabu SIMBA full stop (kawaambie mtaani kwenu)
Baada ya kuzimia mmepatia fahamu huku! YANGA HATA IWE DARAJA LA PILI CHA MSINGI iishikishe adabu SIMBA full stop (kawaambie mtaani kwenu)
denooJ JF-Expert Member Joined Mar 31, 2020 Posts 18,486 Reaction score 68,287 Jan 16, 2021 #45 Simba ipo juu ya Yanga Afrika na dunia wanatambua hilo, kasoro kijiji fulani kinaitwa jangwani ndio hawajui hilo, waachwe waendelee kuishi ndotoni.
Simba ipo juu ya Yanga Afrika na dunia wanatambua hilo, kasoro kijiji fulani kinaitwa jangwani ndio hawajui hilo, waachwe waendelee kuishi ndotoni.