Simba na Namungo ndizo timu pekee zinazowakilisha timu nyingine za Afrika Mashariki.
Simba ishaingia Makundi tunaiombea Namungo nayo iingie makundi.
Wengine nao tunawaombea waingie makundi katika Mapinduzi Cup.
Kwa moyo mweupe kabisa.
mzigo wa sports pesa si ndo karibu wote jana wamekula wachezaji maana ligi sijui ni milioni 100,sports pesa milioni 100 ukichukua ubingwa na hiyo group stages sijui ni ngapi tena..ila jana na jua majamaa hawajakosa atleast milioni 7 kila mmoja maana 250 millions kwa team siyo haba
Hela na Mwarabu hizo kwani yeye na CEO mrembo ndiyo kila kitu wanagharamia timu kila kitu hivyo hizo Ni hela zao kurudisha gharama zao za kuihudumia na kuigharamia timu