Hatuna upacha na vitu vibovu Wala hatuijui timu yenu ya wazee kina Babu Onyango badala ya kuzuia mpira yeye akili za Kenya anazuia mchezaji, Peeeenaaaaaatttttttt!!Sawa mkuu ngoja tuone badae itakavyokua maana hawa jamaa nimapacha
Mkuu ambae hujacheza nae ni viper tu au hao raja unamaanisha utaenda kuwafunga kwao????[emoji23][emoji23]Bado Simba ana nafasi ya kwenda robo fainali, waliobaki tunawamudu tushindwe wenyewe.
Hapo kala hasara takatifu, watu hawawezi kununua hizo jezi....Masikini Kijana vunjaprice, yale matambara aliyoagiza itabidi ayauze kwa bei ya sagura sagura!!
Tutanunua unatujua unatusikia?Hapo kala hasara takatifu, watu hawawezi kununua hizo jezi....
Unahitaji kumuona daktari wa magonjwa ya kufikiri!Simba club Bingwaa...
Yanga club losers
Ww unahitaji daktari wa kumbukumbuUnahitaji kumuona daktari wa magonjwa ya kufikiri!
Leo ukikaa karibu na kina Kalpana ukitania tu kuwa Babu Onyango Kawa shati tu inabidi uanze maandalizi ya kukimbia maana ukiwa karibu unaweza kupokea KONDE zito au UPPER cut bila taarifa!Ww unahitaji daktari wa kumbukumbu
Hakuna clip yoyote ya semaji la CAF.....mnake yule kaka anaongeaga kama vile yeye ndie kocha, ndie mchezaji ndie kila kitu pale simba, wamenyooshwa[emoji1787]Asubuhi ya leo, Feb 19, 2023 Mashabiki wa Simba, mashabiki wa hovyo kuwahi kutokea Duniani, mashabiki jeuri, wajivuni!
Mashabiki wanaojua kuvimba kwa sifa wasizokuwa nazo pale litimu lao bovu linapobahatisha kushinda uwanja wa nyumbani kiuchawi uchawi.
Ghafla wamekuwa wapooole! wenye nidhamu na heshima na taadhima!
Leo asubuhi kila ninapokatiza kukutana nao nasikia.. βHabari za asubuhi Brother, vipi familia mmeamkaje! Sisi pia ni wazima tunashukuru!!β
Ahsante sana Raja kwa mafunzo mujarabu kwa mtoto mtukutu.
Tukutane baadaye muone boli linavyochezwa!!!
Clip zipo nyingi sana cheki mitandaoni utaziona jamaa anaongea kama kakatwa kichwa vile anasahau kua ule ni mpiraHakuna clip yoyote ya semaji la CAF.....mnake yule kaka anaongeaga kama vile yeye ndie kocha, ndie mchezaji ndie kila kitu pale simba, wamenyooshwa[emoji1787]
Sawa yupo club bingwa anaburuza mkia na point 0 na goli 0Simba club Bingwaa...
Yanga club losers
Mkuu hebu niite tena Mpuuzi kama bado ujasiri unao, nitafarijika sana!!Lipuuzi kweli weye!Kwa hiyo umekaa kwenye kigoda bila kimwanandani ukaandika Simba ilivyofungwa?Tulia weye!πππππ
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Clip zipo nyingi sana cheki mitandaoni utaziona jamaa anaongea kama kakatwa kichwa vile anasahau kua ule ni mpira
Alisema rangi nyekundu wakiingia uwanjani watamwaga damuHakuna clip yoyote ya semaji la CAF.....mnake yule kaka anaongeaga kama vile yeye ndie kocha, ndie mchezaji ndie kila kitu pale simba, wamenyooshwa[emoji1787]
Simba anacheza club bingwa makundi.Asubuhi ya leo, Feb 19, 2023 Mashabiki wa Simba, mashabiki wa hovyo kuwahi kutokea Duniani, mashabiki jeuri, wajivuni!
Mashabiki wanaojua kuvimba kwa sifa wasizokuwa nazo pale litimu lao bovu linapobahatisha kushinda uwanja wa nyumbani kiuchawi uchawi.
Ghafla wamekuwa wapooole! wenye nidhamu na heshima na taadhima!
Leo asubuhi kila ninapokatiza kukutana nao nasikia.. βHabari za asubuhi Brother, vipi familia mmeamkaje! Sisi pia ni wazima tunashukuru!!β
Ahsante sana Raja kwa mafunzo mujarabu kwa mtoto mtukutu.
Tukutane baadaye muone boli linavyochezwa!!!
Simba anacheza club bingwa afrika.ThimbaaaaaView attachment 2523412