Bora aliyepasia, kuliko aliyeamua kuwafungia goli kabisa! Naona nauli yenu ya kwenda kuleta fitna mtwara inawauma? Mnakimbia wakati hamna breki, what do you expect?!
Tulie sana kwa lipi? Kwa wanunuaji mechi ? Ilichokifanya simba leo ni unproffessional kwenye football. Na mpenzi yoyote wa mpira wa Tanzania inabidi akemee ununuaji wa mechi kwa nguvu zote.