Simba v sport club villa

Kitoabu

JF-Expert Member
Joined
Jul 7, 2011
Posts
11,084
Reaction score
12,329
Waheshmiwa (muliopo uwanja wa Taifa ) tunawaombeni mutupe updates za mtanange wa kirafiki baina ya Simba sc V Villa sc utakao chezwa muda simrefu hapo uwanja wa Taifa Der-salam. Natanguliza shukrani.
 
Waheshmiwa (muliopo uwanja wa Taifa ) tunawaombeni mutupe updates za mtanange wa kirafiki baina ya Simba .....

Inawezekana mashabiki wengi wa Simba simu zao hazina huduma ya internet, wamezoea kutumia pc za ofisini kuleta habari za timu yao.!!!!!!!!!
 
Waheshmiwa (muliopo uwanja wa Taifa ) tunawaombeni mutupe updates za mtanange wa kirafiki baina ya Simba sc V Villa sc utakao chezwa muda simrefu hapo uwanja wa Taifa Der-salam. Natanguliza shukrani.

Mkuu Kitoabu usikonde kuna uzi wa 'Simba Day' kuna wanaYanga wenye digitali mkononi wanakuletea kila kitu hapo. Kazi ni kwako.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…