hahaha hiyo ya pili walishaizoea mkuuHahaha.. Mkuu.. Yanga wakishinda magoli 5 au siku 5 njaa??
Hahaha.. Mkuu hii hali nimeishuhudia. Kuna jamaa yangu, ana kibanda umiza. Katika mechi 2 za Simba dhidi ya Alliance na Ruvu, banda lake analooneshea mpira lilikua nyang'anyang'a kila baada ya mechi.mkuu uku vibanda umiza walipata hasara kutokana na huaribifu wa bidhaa na mali zao
[emoji23][emoji23][emoji23] ata uku jamaa kagoma kabisa licha ya kwamba tunalipa 2500 kila kipindi...yani kuifaidi game yote ulipe 5000Hahaha.. Mkuu hii hali nimeishuhudia. Kuna jamaa yangu, ana kibanda umiza. Katika mechi 2 za Simba dhidi ya Alliance na Ruvu, banda lake analooneshea mpira lilikua nyang'anyang'a kila baada ya mechi.
Sasa ameapa hataonesha kamwe mechi za Simba.. Yeye atadili na mechi kama hizi za Yanga ambapo baada ya mechi banda lake hubaki salama kabisa, kama vile hakijatokea kitu.
Hahaha.. Kuna jamaa alitoa wazo waanze kujenga vibanda umiza vya mawe, ili kuepusha hilo. Lakini, kuna jamaa akapinga kwa sababu kua, tetemeko la ardhi likitokea mawe si yatatuponda, na TUNAKUFA.[emoji23][emoji23][emoji23] ata uku jamaa kagoma kabisa licha ya kwamba tunalipa 2500 kila kipindi...yani kuifaidi game yote ulipe 5000
upo sahii mkuu uku wazazi wanafafungia watoto ndani wakisikia simba..maana kwa mpira wanaocheza unaweza kuwapotea mpaka watoto achiliambali Bwile matelepnoneHahaha.. Kuna jamaa alitoa wazo waanze kujenga vibanda umiza vya mawe, ili kuepusha hilo. Lakini, kuna jamaa akapinga kwa sababu kua, tetemeko la ardhi likitokea mawe si yatatuponda, na TUNAKUFA.
Mkuu, kwa kifupi hapa, nadhani kuna haja ya mjadara wa kitaifa kuitishwa juu ya hili suala.
Bwire kachanganyikiwa..juzi nlikutanae yombo anaimba okwii okwii okwiii hahahahah.!!Hahahahahaha.. Eti Bwire Matelephone.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]upo sahii mkuu uku wazazi wanafafungia watoto ndani wakisikia simba..maana kwa mpira wanaocheza unaweza kuwapotea mpaka watoto achiliambali Bwile matelepnone