Simba SC yapanda vilabu bora Afrika

Enyimba na Al Hilal wanatuzidije?
Sio suala la usiku mmoja, hizo points za Al Ahly wanaweza wakashuka daraja huko kwao wasicheze champions league miaka 10 na bado tusizifikie points zao kwa muda wote huo wa miaka kumi, maana yake hao walio mbele yetu walishazikusanya points kitambo
 
Wath.enge wametuacha hawa lkn dawa yao ipo jikoni....mpanda ngazi hushuka
Kwa akili za mpanda ngazi hushuka HAMTOBOI, akishuka bila wewe kupanda atakukuta hukohuko chini wote mtakuwa chini, acha akili za kichawi, usiwaze Simba kushuka, jipange umfuate huko huko juu ukampite hukohuko juu, juu Hakunaga mwisho
 
Tutapishana kwenye ngazi sio kesi....
wakati wanashuka sie tunapanda
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…