Bukoba Finest JF-Expert Member Joined Jul 13, 2023 Posts 250 Reaction score 315 Jul 17, 2023 Thread starter #41 Magwangala said: Yanga hajawahi kucheza Nusu Fainali Klabu Bingwa tangu kuanzishwa kwake,Simba amecheza mwaka 1974 Click to expand... 1974 hakukuwa na sheria za mpira Africa kwahyo hiyo haitambuliki
Magwangala said: Yanga hajawahi kucheza Nusu Fainali Klabu Bingwa tangu kuanzishwa kwake,Simba amecheza mwaka 1974 Click to expand... 1974 hakukuwa na sheria za mpira Africa kwahyo hiyo haitambuliki
mjingamimi JF-Expert Member Joined Aug 3, 2015 Posts 45,751 Reaction score 55,787 Jul 17, 2023 #42 hv uwanja pale jangwani mmeshaanza kujenga?.sema gsm mjanja sana.alipoona kaingiza hela za caf akawazuga na raman ya uwanja.ili mkae kimya
hv uwanja pale jangwani mmeshaanza kujenga?.sema gsm mjanja sana.alipoona kaingiza hela za caf akawazuga na raman ya uwanja.ili mkae kimya
Kalpana JF-Expert Member Joined Jun 16, 2017 Posts 35,667 Reaction score 70,299 Jul 17, 2023 #43 Mtanzanias said: Ili kupata kichekesho hiki bonyeza# Click to expand... Endelea kukenua...
Bukoba Finest JF-Expert Member Joined Jul 13, 2023 Posts 250 Reaction score 315 Jul 17, 2023 Thread starter #44 mjingamimi said: hv uwanja pale jangwani mmeshaanza kujenga?.sema gsm mjanja sana.alipoona kaingiza hela za caf akawazuga na raman ya uwanja.ili mkae kimya Click to expand... Wewe umejuaje anadanganya?
mjingamimi said: hv uwanja pale jangwani mmeshaanza kujenga?.sema gsm mjanja sana.alipoona kaingiza hela za caf akawazuga na raman ya uwanja.ili mkae kimya Click to expand... Wewe umejuaje anadanganya?
Sinoni JF-Expert Member Joined May 16, 2011 Posts 7,043 Reaction score 12,527 Jul 17, 2023 #45 Wameenda kwa nguvu zao wakipewa shavu la M-BET .. Wewe huna hata mchango wala kadi ya SSC kwa nini usumbuke?
Wameenda kwa nguvu zao wakipewa shavu la M-BET .. Wewe huna hata mchango wala kadi ya SSC kwa nini usumbuke?
Bukoba Finest JF-Expert Member Joined Jul 13, 2023 Posts 250 Reaction score 315 Jul 17, 2023 Thread starter #46 Sinoni said: Wameenda kwa nguvu zao wakipewa shavu la M-BET .. Wewe huna hata mchango wala kadi ya SSC kwa nini usumbuke? Click to expand... Usimfananishe kila mtu kama kila mtu mkuu.
Sinoni said: Wameenda kwa nguvu zao wakipewa shavu la M-BET .. Wewe huna hata mchango wala kadi ya SSC kwa nini usumbuke? Click to expand... Usimfananishe kila mtu kama kila mtu mkuu.
Sinoni JF-Expert Member Joined May 16, 2011 Posts 7,043 Reaction score 12,527 Jul 17, 2023 #47 Bukoba Finest said: Usimfananishe kila mtu kama kila mtu mkuu. Click to expand... Sijaelewa una maanisha nini. Ila elewa timu kwenda maandalizi ya msimu nje ya nchi kunakuwa na nguvu kubwa ya wadhamini nyuma yake inayoibana kulingana na mikataba. SSC kwenda Turkey kunahusisha mambo mengi.
Bukoba Finest said: Usimfananishe kila mtu kama kila mtu mkuu. Click to expand... Sijaelewa una maanisha nini. Ila elewa timu kwenda maandalizi ya msimu nje ya nchi kunakuwa na nguvu kubwa ya wadhamini nyuma yake inayoibana kulingana na mikataba. SSC kwenda Turkey kunahusisha mambo mengi.