Bukoba Finest
JF-Expert Member
- Jul 13, 2023
- 250
- 315
acha tule bata uturuki hawa wageni.watapewa mfumo maalumu wa mazoeziTimu ya wekundu wa msimbazi wana jambo la kujifunza, haswa nini cha kufanya kipindi cha preseason nini umuhimu wa preseason na Benchi la ufundi linanufaika vipi.
Simba wamepeleka timu uturuki ambapo siku 6 zinatumika katika usafiri 3 kwenda 3 kurudi. Hapo ni wiki moja imepotea safarini ambazo ni siku nyingi sana katika mazoezi.
Wachezaji zaidi ya watano waliachwa Tanzania kwa changamoto mbalimbali wakiwemo maingizo mapya. Je kocha anapaswa kukaa na wachezaji wake haswa wapya kwa muda gani? ni wastani wa wiki 4 ( minimum) mpaka 8 ( maximum).
Kumbe kama preseason wangefanyia Tanzania wangekuwa ndani ya huo muda ili kumpa kocha nafasi ya kutosha kuwafanyia wachezaji assessment.
Itoshe kusema kwamba endapo Simba akapoteza ngao ya Jamii huyu kocha atafukuzwa na sio kwa makosa yake bali ni management mbovu waliyonayo.
Naam kaka, [emoji2] Muda utaongeaacha tule bata uturuki hawa wageni.watapewa mfumo maalumu wa mazoezi
Ngao ya hisani hata kama wangebaki hapa Bongo kipigo kipo pale paleTimu ya wekundu wa msimbazi wana jambo la kujifunza, haswa nini cha kufanya kipindi cha preseason nini umuhimu wa preseason na Benchi la ufundi linanufaika vipi.
Simba wamepeleka timu uturuki ambapo siku 6 zinatumika katika usafiri 3 kwenda 3 kurudi. Hapo ni wiki moja imepotea safarini ambazo ni siku nyingi sana katika mazoezi.
Wachezaji zaidi ya watano waliachwa Tanzania kwa changamoto mbalimbali wakiwemo maingizo mapya. Je kocha anapaswa kukaa na wachezaji wake haswa wapya kwa muda gani? ni wastani wa wiki 4 ( minimum) mpaka 8 ( maximum).
Kumbe kama preseason wangefanyia Tanzania wangekuwa ndani ya huo muda ili kumpa kocha nafasi ya kutosha kuwafanyia wachezaji assessment.
Itoshe kusema kwamba endapo Simba akapoteza ngao ya Jamii huyu kocha atafukuzwa na sio kwa makosa yake bali ni management mbovu waliyonayo.
[emoji2][emoji2][emoji2] usiwakatishe tamaaNgao ya hisani hata kama wangebaki hapa Bongo kipigo kipo pale pale
Mwaka huu mtaomba pooo..mimi huwa nikisema jambo jua ndivyo ilivyo...mwaka huu Simba bingwaNgao ya hisani hata kama wangebaki hapa Bongo kipigo kipo pale pale
Kati ya Simba na Yanga nani wa kwanza kwenda Turkey??Wabongo Kila kitu ni Kupinga.
ACHA WAENDE WAKAJIFUNZE WAKAKAE KWENYE MIUNDOMBINU BORA.
Hata wewe unatamani ungekuwa UTURUKI Jiji la Ismail zamani likiitwa Efeso.
Mungu Ibariki Simba
[emoji23] wazi mkuuUna hoja
Usikilizwe.
Sijajua maana sidhani kama wana fan base huko tungesema wamewapelekea mashabiki timu yaoHivi uturuki wamefuata Hali ya Hewa, joto au nini zaidi?
Sijajua maana sidhani kama wana fan base huko tungesema wamewapelekea mashabiki timu yao
Kwahyo wapo sahihi sioWaliokaa wakaamua wana akili kuliko wewe, mambo yao waachie wao.
Kama zipi? kuogelea kwenye swimming pool?Tatizo lenu Utopwinyo, mnafikiri Pre-Season ni mazoezi tu...
Preseason ina components nyingi...
Kwenda tu kunatosha sio?Simba kwenda Uturuki ni zaidi ya mazoezi.
LiangaliweBasi na hili mkalitazame pia