Tulionya humu simba isimsajili hawakusikia,inawezekana ni matatizo yake binafsi au amepigwa misumari
Hata mwili wake unaonekana umepunguataarifa ambazo zipo chini ya kapeti za ndani ya club ya simba zinasema; kwa ss morison hali yake ya kiafyasio njema sana hawez kufanya mazoez magumu, ht mazoezini yy anafanya special program peke yake...
Kwa hiyo kwa mtazamo wako ni kwamba anakaa benchi kwa kuwa habadiliki? Point yako hasa sijaipataMoja kwa moja kwenye mada.Niseme tu wazi kwamba huyu Morison inatakiwa apewe ushauri abadilike. Haiwezekani anapewa pesa kuliko mchezaji yeyote halafu hana msaada wowote kwa timu.Imagine wachezaji key players wengi hawapo lakini wewe unayepata hela zote hizo unakaa benchi dk zote 90.
Mara ya mwisho ulipomuona akicheza kwa kiwango kibovu ni lini na mechi gani?...Morison kiwango chake ni cha kutilia mashaka mno kwa sasa.
Yeah...hamshawishi kocha .morison hajitumi na wala haoneshi kabisa kwamba ana kiu ya kupigania nafasi.Ni mara ngapi anaingizwa kwny mechi za Simba anaishia kuboronga tu!!?Lazima kama mchezaji wa nje na anayelipwa kiwango kikubwa cha pesa aoneshe utofauti la sivyo afungashiwe viragoKwa hiyo kwa mtazamo wako ni kwamba anakaa benchi kwa kuwa habadiliki? Point yako hasa sijaipata
Tulishasema vibali vya Morrison tunavyo sisi. Tumevishikilia.... Sasa umemsikia moja wa mabwenyenye wenu anasema Morrison ana Busha inabidi akapasuliwe atakua nje Hadi miezi sita?¿
BONGO NYOSO. HABARI YA MORRISON KWA SOKA LA TANZANIA IMEISHA
Busha linamnyonya.Hata mwili wake unaonekana umepungua
Mimi sikubaliani kwamba akiingia anaboronga, maana hadi mara ya mwisho kuona au kusikia akicheza, alipoingia alichangamsha game. Hata kwa mujibu wa matangazo wali[poenda kule Nigeria dhidi ya Plateau, kama si refa na mshika kibendera kutofautiana, presha ya Morrison ilikuwa izae penati dakika za nyongezaYeah...hamshawishi kocha .morison hajitumi na wala haoneshi kabisa kwamba ana kiu ya kupigania nafasi.Ni mara ngapi anaingizwa kwny mechi za Simba anaishia kuboronga tu!!?Lazima kama mchezaji wa nje na anayelipwa kiwango kikubwa cha pesa aoneshe utofauti la sivyo afungashiwe virago