kibol JF-Expert Member Joined Apr 24, 2012 Posts 4,636 Reaction score 2,885 Dec 8, 2018 #21 Shadeeya said: Wacha weee. Click to expand... Naam, namsubiri Nkana red devils nimfundishe soka kama ilivyokuwa kwa mbabane swallows mie nisonge mbele.
Shadeeya said: Wacha weee. Click to expand... Naam, namsubiri Nkana red devils nimfundishe soka kama ilivyokuwa kwa mbabane swallows mie nisonge mbele.
Shadeeya JF-Expert Member Joined Mar 12, 2014 Posts 52,712 Reaction score 128,393 Dec 8, 2018 #22 kibol said: Naam, namsubiri Nkana red devils nimfundishe soka kama ilivyokuwa kwa mbabane swallows mie nisonge mbele. Click to expand... Tusubiri tuone kikubwa usije kimbia kauli zako.
kibol said: Naam, namsubiri Nkana red devils nimfundishe soka kama ilivyokuwa kwa mbabane swallows mie nisonge mbele. Click to expand... Tusubiri tuone kikubwa usije kimbia kauli zako.
msolopaganzi1954 JF-Expert Member Joined Nov 20, 2018 Posts 763 Reaction score 381 Dec 8, 2018 Thread starter #23 OKW BOBAN SUNZU said: Ukiacha ushindi wa goli 4 hata soko linalopigwa na Simba ni la ukweli sana. Simba italeta ushindani kimataifa Ushauri Aliyemleta Chama apewe jukumu la kumleta mbadala wa Boko Click to expand... Wako mzuka sana
OKW BOBAN SUNZU said: Ukiacha ushindi wa goli 4 hata soko linalopigwa na Simba ni la ukweli sana. Simba italeta ushindani kimataifa Ushauri Aliyemleta Chama apewe jukumu la kumleta mbadala wa Boko Click to expand... Wako mzuka sana
kibol JF-Expert Member Joined Apr 24, 2012 Posts 4,636 Reaction score 2,885 Dec 8, 2018 #24 Shadeeya said: Tusubiri tuone kikubwa usije kimbia kauli zako. Click to expand... Bila shaka mkuu, Simba ina uhakika wa kupata matokeo kwenye mechi yoyote ile kutokana na ubora wa kikosi tulichonacho kwa sasa.
Shadeeya said: Tusubiri tuone kikubwa usije kimbia kauli zako. Click to expand... Bila shaka mkuu, Simba ina uhakika wa kupata matokeo kwenye mechi yoyote ile kutokana na ubora wa kikosi tulichonacho kwa sasa.
kibol JF-Expert Member Joined Apr 24, 2012 Posts 4,636 Reaction score 2,885 Dec 8, 2018 #25 OKW BOBAN SUNZU said: Ukiacha ushindi wa goli 4 hata soko linalopigwa na Simba ni la ukweli sana. Simba italeta ushindani kimataifa Ushauri Aliyemleta Chama apewe jukumu la kumleta mbadala wa Boko Click to expand... Naunga mkono hoja uliyoitoa kwenye last paragraph, kiukweli tunahitaji striker ambaye katika nafasi tatu atakazopata ana uwezo wa kutumia nafasi mbili na kukosa moja au kwa tabu sana atumie moja katika tatu atakazozipata.
OKW BOBAN SUNZU said: Ukiacha ushindi wa goli 4 hata soko linalopigwa na Simba ni la ukweli sana. Simba italeta ushindani kimataifa Ushauri Aliyemleta Chama apewe jukumu la kumleta mbadala wa Boko Click to expand... Naunga mkono hoja uliyoitoa kwenye last paragraph, kiukweli tunahitaji striker ambaye katika nafasi tatu atakazopata ana uwezo wa kutumia nafasi mbili na kukosa moja au kwa tabu sana atumie moja katika tatu atakazozipata.
Proved JF-Expert Member Joined Sep 10, 2018 Posts 37,377 Reaction score 50,313 Dec 9, 2018 #26 Simba ina kikosi bora
muokotamatunda JF-Expert Member Joined Apr 2, 2016 Posts 1,613 Reaction score 1,204 Dec 9, 2018 #27 Vipimo sahihi vinakujaga ,bado sana wazee,
msolopaganzi1954 JF-Expert Member Joined Nov 20, 2018 Posts 763 Reaction score 381 Dec 9, 2018 Thread starter #28 Proved said: Simba ina kikosi bora Click to expand... Time will tell
kibol JF-Expert Member Joined Apr 24, 2012 Posts 4,636 Reaction score 2,885 Aug 13, 2023 #29 OKW BOBAN SUNZU said: Ukiacha ushindi wa goli 4 hata soko linalopigwa na Simba ni la ukweli sana. Simba italeta ushindani kimataifa Ushauri Aliyemleta Chama apewe jukumu la kumleta mbadala wa Boko Click to expand... Mkuu hii ilikuwa back then 2018 unasema atafutwe mbadala wa bocco, leo ni 2023 bado bocco anapata nafasi pale wekundu.
OKW BOBAN SUNZU said: Ukiacha ushindi wa goli 4 hata soko linalopigwa na Simba ni la ukweli sana. Simba italeta ushindani kimataifa Ushauri Aliyemleta Chama apewe jukumu la kumleta mbadala wa Boko Click to expand... Mkuu hii ilikuwa back then 2018 unasema atafutwe mbadala wa bocco, leo ni 2023 bado bocco anapata nafasi pale wekundu.