sembo JF-Expert Member Joined May 25, 2011 Posts 4,350 Reaction score 3,451 Aug 8, 2015 Thread starter #41 Watu8 said: Niliposoma tu kichwa cha taarifa hii nilijua mwandishi ni sembo Click to expand... Haha.. Kwanini Mkuu? Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
Watu8 said: Niliposoma tu kichwa cha taarifa hii nilijua mwandishi ni sembo Click to expand... Haha.. Kwanini Mkuu?
Watu8 Platinum Member Joined Feb 19, 2010 Posts 76,323 Reaction score 108,390 Aug 8, 2015 #42 Yule msemaji wa Simba alipayuka kweli kuwa gazeti la Mwanaspoti linatumiwa na Mavugo atatua Dar tar 7 August... Hiyo ilikuwa ni baada ya Mwanaspoti kuandika kuwa Simba imeliwa hela na Mavugo maana hatakuja... Ajabu ni kuwa wiki moja tu baadaye Simba wenyewe wakaanza kuzuga kuwa Mavugo haji tena maana timu yake imempandisha bei... mkolaj said: Mikia kwa kujifariji bwana wamo, hata skendo za Mavugo mlikuwa mnajipa moyo hivo hivo lakini mwisho wa siku mnaishia kujipa moyo kwa akina Migomba na Mgosi. Haaaaaaa haaaaaaaaa Click to expand...
Yule msemaji wa Simba alipayuka kweli kuwa gazeti la Mwanaspoti linatumiwa na Mavugo atatua Dar tar 7 August... Hiyo ilikuwa ni baada ya Mwanaspoti kuandika kuwa Simba imeliwa hela na Mavugo maana hatakuja... Ajabu ni kuwa wiki moja tu baadaye Simba wenyewe wakaanza kuzuga kuwa Mavugo haji tena maana timu yake imempandisha bei... mkolaj said: Mikia kwa kujifariji bwana wamo, hata skendo za Mavugo mlikuwa mnajipa moyo hivo hivo lakini mwisho wa siku mnaishia kujipa moyo kwa akina Migomba na Mgosi. Haaaaaaa haaaaaaaaa Click to expand...
Watu8 Platinum Member Joined Feb 19, 2010 Posts 76,323 Reaction score 108,390 Aug 8, 2015 #43 sembo said: Haha.. Kwanini Mkuu? Click to expand... Mtu akisoma tu mwandiko wako lazima asisimuke maana unaandika kwa hisia mno... Ni kama vile kumsikiliza Thobias Kifaru, Julio Kihwelo au Masau Bwire... Utakuwa unaipenda sana Simba wewe...
sembo said: Haha.. Kwanini Mkuu? Click to expand... Mtu akisoma tu mwandiko wako lazima asisimuke maana unaandika kwa hisia mno... Ni kama vile kumsikiliza Thobias Kifaru, Julio Kihwelo au Masau Bwire... Utakuwa unaipenda sana Simba wewe...
sembo JF-Expert Member Joined May 25, 2011 Posts 4,350 Reaction score 3,451 Aug 8, 2015 Thread starter #44 Watu8 said: Mtu akisoma tu mwandiko wako lazima asisimuke maana unaandika kwa hisia mno... Ni kama vile kumsikiliza Thobias Kifaru, Julio Kihwelo au Masau Bwire... Utakuwa unaipenda sana Simba wewe... Click to expand... Thanks Mkuu.. Upendo wangu kwa Simba SC hauelezeki. Karibu Taifa leo kushuhudia lile soka ninaloliongelea humu kila siku.
Watu8 said: Mtu akisoma tu mwandiko wako lazima asisimuke maana unaandika kwa hisia mno... Ni kama vile kumsikiliza Thobias Kifaru, Julio Kihwelo au Masau Bwire... Utakuwa unaipenda sana Simba wewe... Click to expand... Thanks Mkuu.. Upendo wangu kwa Simba SC hauelezeki. Karibu Taifa leo kushuhudia lile soka ninaloliongelea humu kila siku.