Mabingwa wa Robo Final, Wananchi wanaenda final kabisa na kuchukua Kombe.Kwa Maneno Mengine Unaweza Kusema Simba Ni Dude Kuuuuuuuuuubwa
Leteni matokeo hapaUmeshapiga kura yetu mkuu?
Hiyo inawanyimaje wengine kujivunia mafanikio. Acha roho ya kike. Sisi hatujajiweka Top 10 wala kuwaweka Uto nafasi ya 75Mambo mengine yangetokea kwenye timu kubwa kama Al Ahly, Mamelody, Wydad/Raja Casablanca, Esperance, nk wala huwezi kusikia makelele meengi kutoka kwa mashabiki wao.
Chama mchezaji Bora wa wikiHivi Simba ya kimataifa Iko na kombe Gani kwasasa?
Kumbe makombe ya Simba ni Triple C hii ni aibu sana kwa Klabu kubwa kutokuwa na kombe hata la kukimbiza kuku!Chama mchezaji Bora wa wiki
Chama goal Bora la wiki
Umetoa wachezaji Bora 4 katika kikosi cha wiki cha cafcl
Chama kampiga tobo goal keeper
AahaahaaMabingwa wa Robo Final, Wananchi wanaenda final kabisa na kuchukua Kombe.