Siku hersi akijikita kwenye kuhakikisha yanga inakuwa na miundo mbinu yake ya viwanja na hosteli za kisasa ndio ambayo nitamuona yupo serious na maendeleo ya yanga.
Nilishangazwa kuskia eti anaomba aongezewe eneo ili ajenge uwanja ilhali timu viwanja vya mazoezi tu! inakodisha
Yaani anataka kujenga uwanja wa watu elfu thelathini wakati timu hata uwanja wa mazoezi haina! Binafsi naona kama anaruka steps na hili lilifanya nimuweke kwenye wapiga porojo km walivyokuwa wakina madega na nchunga wenyeviti wa zamani wa yanga ambao nao walikuwa na ahadi hizi hizi za viwanja na hawakufanikiwa.
Eneo lipo tayari kigamboni ila kila siku siasa tu!
Na siku kampuni ya gsm ikipata changamoto za kiuchumi yanga itarudi kule kule kwenye kuomba omba.
Sent from my SM-A013G using
JamiiForums mobile app