Al Ahly iliyocheza na yanga ndiyo hii iliyocheza jana na simba kwa maana ya wachezaji?ONA MAAJABU HAYA NDANI YA MIAKA 5 ILIYOPITA
Mwaka 2014.
Yanga 1 - 0 Al ahly (Dar)
Al ahly 1 - 0 Yanga (Cairo)
(Al Ahly akashinda 5-4 kwa penati)
Mwaka 2016.
Yanga 0 - 0 Al ahly (Dar)
Al ahly 2 - 1 Yanga (Cairo)
Mechi nne ;-
Al ahly win 2
Yanga win 1
Sare 1
magoli ya kufunga;-
Al ahly 3
Yanga 2
hiyo inamaanisha katika mechi nne Yanga karuhusu goli 3 tu kwa Al Ahly wakati yeye pia akifunga goli mbili.
RECORD YA UNDERDOG.
Al ahly 5 - 0 Mikia SC
yaani magoli aliyofungwa katika mechi yake moja tu ni Sawa na magoli ya timu zote mbili katika mechi NNE walizocheza tena Al Ahly waliwapumzisha Key Players wao 8 , walimaliza mchezo first half hawakutaka kumaliza nguvu zao kwa Mbumbumbu. . Endapo wangeuwasha moto dk 90 basi underdog wangevunja rekodi ya Club African.
TUNAVYOITWA WA KIMATAIFA TAMBUENI SIO KAZI RAHISI.
Sent using Jamii Forums mobile app
Tena iliyocheza jana hiyo Al Ahly haikuwa na wachezaji wa first eleven 9, imagine wasingekuwa na injuries ingekuwaje.Al Ahly iliyocheza na yanga ndiyo hii iliyocheza jana na simba kwa maana ya wachezaji?
Jibu ni wachezaji waliocheza jana na Simba sio waliocheza na Yanga sio?Tena iliyocheza jana hiyo Al Ahly haikuwa na wachezaji wa first eleven 9, imagine wasingekuwa na injuries ingekuwaje.
Baadhi ya waliopo kikosini wakongwe wapo wachache.
Sent using Jamii Forums mobile app
😁😁😁ndoto hizi Bado mnazo?jana wachezaji 9 wa first team hawakuwepo kina Sobi umekula kiganja,maybe unaotaKikubwa ni kufuzu sisi tunanafasi nzuri ya kufuzu Hadi Sasa Al ahly Kwa mchina hatoki
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwahiyo ndo kusema akija mwarabu kwa mchini mtalipa? Na as vita je?Inaweza ikatokea ila marachache sana mpira wa kiafrica una matokeo ya ajabu subiri nkukumbushe Raja Casablanca 6-0 Yanga ,marudiano 3-3, zamalek 6-1 Enyimba, marudiano Enyimba kashinda 2-1,Final za mwaka Raja Casablanca 3-0 As Vita, marudiano As Vita 3-1 Raja Casablanca kwaio iyo inakukumbusha soka la Africa Kuna Mambo mengi sana
Sent using Jamii Forums mobile app
Ndoto za mchanaKikubwa ni kufuzu sisi tunanafasi nzuri ya kufuzu Hadi Sasa Al ahly Kwa mchina hatoki
Sent using Jamii Forums mobile app
Habari za mwaka 1998 unaleta Leo? Mbona husemi simba alipofungwa 8-0?Hakianani mi jana nilifikiri tutaifikia na kuvunja hii record lkn kwa kudura za mungu haikuwa hivyo. acha aendelee kuishikilia mtani
View attachment 1012232
Rajer Casablanca walicheza fainali na vita kwenye kombe la shirikisho siyo champions leagueMkuu,fainali ya mwaka jana, Casablanca alicheza na Al-Ahly
Watu wanajadili mpira hata finalist wa mwaka Jana hawawajui.
Yanga alimaliza na point 2 baada kuambulia safe 2 dhidi ya Raja Casablank na Maning Rangers. Tofauti na hii ya Leo, kipindi ilikuwa in nane bora, na makundi yalikuwa mawili tu. Kimaesabu Yanga ilifika 1/4 final. Ilikuwa 1998, atakayebisha Hugo ni was kizazi cha JK era.
Ilikuwa zaidi ya hii iliyocheza na Simba, maana wao ndiyo walikuwa mabingwa watetezi. Unajuwa historia IPO, kumbukumbu zipo, ila sisi wapenzi was Yanga tupo tofauti na wenzetu, hatutumiagi nguvu nyingi kwenye argument.Al Ahly iliyocheza na yanga ndiyo hii iliyocheza jana na simba kwa maana ya wachezaji?
Nilidhani anazungumzia Klabu BingwaRajer Casablanca walicheza fainali na vita kwenye kombe la shirikisho siyo champions league
Sent using Jamii Forums mobile app
Nilidhani anazungumzia Klabu Bingwa
Mkuu, walikuwa Mabingwa watetezi Wydad Casablanca na Al Alhly
Mkuu, walikuwa Mabingwa watetezi Wydad Casablanca na Al Alhly
Kweli kichapo kimechanganya kichwa, ahily ndio nani tena?
Mkuu,umefaulu mtihani. Kweli unafuatilia soka. Nilikuwa nakutega tu! Ha ha ha ha ha