kilwakivinje
JF-Expert Member
- Jan 4, 2014
- 6,360
- 9,600
Anyooshe maelezo vizuri, siyo ngumu sana ni haiwezekani.Baada ya Simba kupangwa kucheza na Mabingwa wa Afrika Al Ahly kwenye hatua ya Robo Fainali ya Michuano ya African Football League itakayoanza Mwezi Oktoba, Mchambuzi wa soka Geoff Lea amesema Simba kuitoa Al Ahly kwenye michuano hiyo ni ngumu sana.
"Nadhani mashabiki wengi wa Simba bado hawajaridhishwa na kiwango cha timu yao, ingawa nami pia ni shabiki wa Simba, sipo kwenye hilo kundi sababu ninaamini huu ni mwanzo wa ligi na kazi aliyoifanya kocha kwenye mechi za kujiandaa na msimu haiwezi kuonekana kwenye mechi za mwanzoni kama hizi za mpaka sasa, kwa hiyo bado ninaamini kuna kitu kitaonekana lakini yote kwa yote nafasi ya Simba kuitoa Al Ahly ni ngumu sana."— Geoff Leah kwenye EFM Radio.
View attachment 2739366
Wajipange haswa maana wana mechi 2 muhimu mno la sivyo ,watajikuta wamekosa vyote , then waanze nyuzi zaoKwenye mpira lolote linaweza kutokea cha muhimu ni kujipanga na kaufanya maandalizi.
Impossible....Baada ya Simba kupangwa kucheza na Mabingwa wa Afrika Al Ahly kwenye hatua ya Robo Fainali ya Michuano ya African Football League itakayoanza Mwezi Oktoba, Mchambuzi wa soka Geoff Lea amesema Simba kuitoa Al Ahly kwenye michuano hiyo ni ngumu sana.
"Nadhani mashabiki wengi wa Simba bado hawajaridhishwa na kiwango cha timu yao, ingawa nami pia ni shabiki wa Simba, sipo kwenye hilo kundi sababu ninaamini huu ni mwanzo wa ligi na kazi aliyoifanya kocha kwenye mechi za kujiandaa na msimu haiwezi kuonekana kwenye mechi za mwanzoni kama hizi za mpaka sasa, kwa hiyo bado ninaamini kuna kitu kitaonekana lakini yote kwa yote nafasi ya Simba kuitoa Al Ahly ni ngumu sana."— Geoff Leah kwenye EFM Radio.
View attachment 2739366
Huyu mchambuzi wa mchele ni vizuri akumbushwe kuwa Simba ilishawahi kumtoa Al Ahly kwenye mashindano ya klabu bingwa ya Afrika!! Kwa hiyo siyo kitu kisichowezekana Al Ahly kutolewa na Simba!! Huyu lea abakie kuchambua mchele lakini kuchambua soka awaachie kina Ally Mayai Tembele!!Baada ya Simba kupangwa kucheza na Mabingwa wa Afrika Al Ahly kwenye hatua ya Robo Fainali ya Michuano ya African Football League itakayoanza Mwezi Oktoba, Mchambuzi wa soka Geoff Lea amesema Simba kuitoa Al Ahly kwenye michuano hiyo ni ngumu sana.
"Nadhani mashabiki wengi wa Simba bado hawajaridhishwa na kiwango cha timu yao, ingawa nami pia ni shabiki wa Simba, sipo kwenye hilo kundi sababu ninaamini huu ni mwanzo wa ligi na kazi aliyoifanya kocha kwenye mechi za kujiandaa na msimu haiwezi kuonekana kwenye mechi za mwanzoni kama hizi za mpaka sasa, kwa hiyo bado ninaamini kuna kitu kitaonekana lakini yote kwa yote nafasi ya Simba kuitoa Al Ahly ni ngumu sana."— Geoff Leah kwenye EFM Radio.
View attachment 2739366
Unacheza friend match na vitimu vya kuokoteza hapa na pale ndiyo umtoe AL Ahly!Baada ya Simba kupangwa kucheza na Mabingwa wa Afrika Al Ahly kwenye hatua ya Robo Fainali ya Michuano ya African Football League itakayoanza Mwezi Oktoba, Mchambuzi wa soka Geoff Lea amesema Simba kuitoa Al Ahly kwenye michuano hiyo ni ngumu sana.
"Nadhani mashabiki wengi wa Simba bado hawajaridhishwa na kiwango cha timu yao, ingawa nami pia ni shabiki wa Simba, sipo kwenye hilo kundi sababu ninaamini huu ni mwanzo wa ligi na kazi aliyoifanya kocha kwenye mechi za kujiandaa na msimu haiwezi kuonekana kwenye mechi za mwanzoni kama hizi za mpaka sasa, kwa hiyo bado ninaamini kuna kitu kitaonekana lakini yote kwa yote nafasi ya Simba kuitoa Al Ahly ni ngumu sana."— Geoff Leah kwenye EFM Radio.
View attachment 2739366
Sema Zamalek sio Al ahly.Huyu mchambuzi wa mchele ni vizuri akumbushwe kuwa Simba ilishawahi kumtoa Al Ahly kwenye mashindano ya klabu bingwa ya Afrika!! Kwa hiyo siyo kitu kisichowezekana Al Ahly kutolewa na Simba!! Huyu lea abakie kuchambua mchele lakini kuchambua soka awaachie kina Ally Mayai Tembele!!
Mzee tunza manenoBora amesema ukweli! Yeye ni shabiki wa simba. Lakini pia hiyo simba haina uwezo wa kuitoa Al Ahly na lile pira lake papatu papatu.
Aisee kubalini tu matokeo. Kwa miaka ya hivi karibuni, ni Yanga pekee ndiyo imeonesha huo ujasiri wa kuzichachafya timu za Waarabu hata katika viwanja vyao vya nyumbani. Ila siyo simba.Mzee tunza maneno
Utopolo kuitoa Al Merrikh ni ngumu sanaBaada ya Simba kupangwa kucheza na Mabingwa wa Afrika Al Ahly kwenye hatua ya Robo Fainali ya Michuano ya African Football League itakayoanza Mwezi Oktoba, Mchambuzi wa soka Geoff Lea amesema Simba kuitoa Al Ahly kwenye michuano hiyo ni ngumu sana.
"Nadhani mashabiki wengi wa Simba bado hawajaridhishwa na kiwango cha timu yao, ingawa nami pia ni shabiki wa Simba, sipo kwenye hilo kundi sababu ninaamini huu ni mwanzo wa ligi na kazi aliyoifanya kocha kwenye mechi za kujiandaa na msimu haiwezi kuonekana kwenye mechi za mwanzoni kama hizi za mpaka sasa, kwa hiyo bado ninaamini kuna kitu kitaonekana lakini yote kwa yote nafasi ya Simba kuitoa Al Ahly ni ngumu sana."— Geoff Leah kwenye EFM Radio.
View attachment 2739366
Huyu mchambuzi wa mchele ni vizuri akumbushwe kuwa Simba ilishawahi kumtoa Al Ahly kwenye mashindano ya klabu bingwa ya Afrika!! Kwa hiyo siyo kitu kisichowezekana Al Ahly kutolewa na Simba!! Huyu lea abakie kuchambua mchele lakini kuchambua soka awaachie kina Ally Mayai Tembele!!
Atakuja sema kua hakusema kama haiwezekani...Kwani hawa wachambuzi wasiwe na akiba ya maneno? Mfano Simba akatoa wataweka wapi nyuso zao.
Kama ingekuwa hivi sasa kulikuwa na haja gani ya kuweka haya mashindano?
Kwa rekodi ipi??? Ile ya wydad mlikua mnacheza nyie?? Ni mwaka jana au mwaka huuu??Aisee kubalini tu matokeo. Kwa miaka ya hivi karibuni, ni Yanga pekee ndiyo imeonesha huo ujasiri wa kuzichachafya timu za Waarabu hata katika viwanja vyao vya nyumbani. Ila siyo simba.